Friday, December 13, 2013

WASTARA AMKUMBUKA SAJUKI NA KUANDIKA UJUMBE HUU INSTAGRAM


Mwezi ujao (January 2) aliyekuwa muigizaji wa
Bongo Movie marehemu Juma Kilowoko maarufu
kama Sajuki atafikisha mwaka mmoja tangu
afariki dunia. Mkewe Wastara Mohamed
(Wastara Sajuki) ameandika ujumbe wa
kumkumbuka kipenzi chake kupitia Instagram.
“Siku week mwezi hatimae mwaka unaingia
tokea ukimbie mikononi mwangu mwetu, milele
nitakukmbuka daima nahisi uko sehemu nzuri
unanisubiri, tal 2/1/2014 my bld anatimiza
mwaka tokea atutoke katika hii dunia,
nawaomba tuwe pamoja katika duwa
itakayofanyika mkoani songea kokte ulipo inua
mikono kumuombea juma kilowoko aka sajuki
and mboni ya wastara”. Ameandika Wasrata

1 comment:

  1. Dah kifo kibaya sana kinachukua tunaowapenda sana Mungu azidi kututia nguvu wafiwa

    ReplyDelete

.