Friday, December 13, 2013

KWENYE MATRAFKI MAKAUZU, HUYU MMAMA NI NOMA. SOMA ALICHOWAFANYIA HAWA MADEREVA


Si mnajifanya kuwa na haraka nyinyi nigongeni
basi kama mnaujanja traffic akiwa amesimama
mbele ya dala dala zilizo kuwa zina haraka na
kuvunja sheria bila kufata utaratibu wa jinsi ya
kula vichwa. Bongo hiyo dala dala zina kula
vichwa bila utaratibu wa kituo na kituoa na kwa
kuchomikeana, traffic akasema sasa ngoja
niwachomeshe mahindi na haraka zetu za kuto
kujari hata usalama wa abiria wenu. Ukodak
kutoka kwa Mfoto huu!

1 comment:

  1. Hii story ya kutengeneza kujaza white gapes kama sivyo mpiga picha huyu ni kanjanja angepiga long shot ionyeshe view yote ambayo gari zinatakiwa kupita na hizi zinazodaiwa kupita ndivyo sivyo

    ReplyDelete

.