Wema Sepetu na Martin Kadinda
wazua jambo.
Katika Pita Pita zangu nimekutana na habari hii
katika Gazeti moja linaloitwa Visa..Habari
yenyewe inahoji ukaribu wa Wema Sepetu na
Manager Wake Martin Kadinda....Limeandika
hivi ....
Madam Wema na Manager wake bado
Wanawapa Maswali yasiokuwa na Majibu Watu
wengi kutoka na utaratibu wao wa kazi na
Maisha wanayoishi kwa sasa....
Mtu mmoja wa karibu wa wiwili hao
amenyetisha na kusema Martin Kadinda Toka
Awe na Wema Sepetu hawajahi Kumtambulisha
Girl friend wake kwa mtutu yoyote hata watu wa
karibu na yeye..
Pia kwa upande wa Wema Mtu huyo amesema
kuwa Toka Wema ahamie kwenye Jumba Lake la
Kifahari Hajawahi hata siku moja kumuingiza
mwanaume zaidi ya marafiki zake wa
kawaida..hao marafiki zake hufika na kuondoka
lakini inasemakana Martin siku zingine huwa
analala Japo hajasema kama ni chumba kimoja
ama ni tofauti ...Kitu ambacho kinaacha maswali
mengi sana kwa mashabiki wa hawa wawili...
Maswali mengi yamekuja kutokana na picha zao
za Utata wanazopiga kama Msanii na Manager
wake

Thursday, December 5, 2013
Wema Sepetu na Martin Kadinda wazua jambo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment