Jacqueline Wolper akiingia katika salon
mpya ya Price Health and Beauty Parlor .
Na Issa Mnally
MSANII mahiri wa filamu nchini Jacqueline
Wolper juzi alijikuta anapata ofa ya
kutengezwa nywele bure katika Salon mpya
itwayo Price Health and Beauty Parlor
ambayo imefunguliwa hivi karibuni maeneo
ya Mwenge jijini .
. ..Akisubiri kupewa huduma ndani ya salon
hiyo .
Msanii huyo alikula ofa hiyo sambamba na
baadhi ya waandishi ambao walialikwa
katika uzinduzi huo wa kuifungua Salon hiyo
ambayo itakuwa na huduma zote za nywele
kwa wanawake na wanaume .
Wolper akiwa ndani ya salon ya Price Health
and Beauty Parlor iliyopo Mwenge , Dar .
Wolper alimwambia mwandishi wetu kuwa ni
muhimu kukimbilia ofa hizo , na kama
watampa huduma nzuri atahamia moja kwa
moja.
Wednesday, December 4, 2013
WOLPER ATEGENEZWA NYWELE BURE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment