Sunday, February 23, 2014

AHAHA GUMZO NOMA LAZIMA WAKAE!

Nimeona nikuipie baadhi ya vipande vya filam ya nisha GUMZO ahaha lazima ucheke asee tena ucheke sana! Bado siku 4 tu kitu kiingie mtaani unakosaje sasa??hebu cheki baadhi ya vipande hapo chini maana nimecheka si kidogo!!...

2 comments:

.