Friday, February 21, 2014

FILAMU YA NISHA YA GUMZO NI NOMA SANAAA!SIO YA KUKOSA

BAADA YA KUTIKISA JIJI NA TIKISA SASA NISHA FILM PRODUCTION INAKULETEA GUMZO. GUMZO NI MOVIE INAYO ELIMISHA NA KUBURUDISHA NDANI YA MOVIE HIYO KUNA MASTAA KIBAO KING MAJUTO,WASTARA JUMA,HEMEDI PHD,TAUSI NA YEYE MWENYEWE SALMA JABU NISHA. KWENYE PICHA ANAONEKANA NISHA AKIWA NDANI YA STUDIO ZA TBC KATIKA KIPINDI CHA ULIMWENGU WA FILAMU AKI ITAMBULISHA MOVIE YA GUMZO AMBAYO ITAKUWA MITAANI TAREHE 27 MWEZI HUU

Nilipata bahati ya kuonyeshwa vipande vya filamu hiyo aisee ni noma sana!! mimi nishatoa order yangu kabisa kitu original tar 27 , wewe unaanzaje kukosa sasa?yaani kwa mfano??kila kona ya jiji GUMZO! facebook GUMZO,Whatsapp GUMZO, Instagram wanaongelea GUMZO tu afu uikose tena kha!!utakuwa upo nyuma dakika nyingi tu.
by C.E.O of TEAM WAKISHUA

1 comment:

.