Thursday, February 27, 2014

HABARI YA UKWELI YA MAISHA: Ilikuwaje Mwanamke Huyu Alilazimishwa Kufanya Mapenzi na Mbwa na Farasi


Mwanzoni wakati Internet ilipokuja kwenye
jamii ya watu wa Afrika, watu wengi
waliifurahia sababu ilisaidia kupunguza msongo
wa huduma za mawasiliano dunia nzima, pia
iliwezesha kuboreka na kuonekana kwa
umuhimu wa mawasiliano kwa
ujumla.Iliwasaidia watu wengi kuweza ku-
chat, kutuma mails na hata kusaidia katika
shughuli mbalimbali za kibiashara. Na kadiri
muda ulivyozidi kwenda wasichana wengi
walikuja kugundua wanaweza kuitumia
internet kwa ajili ya kuweza kuwapata
marafiki wa ku-chat au hata wenza wa
maisha.
Baadhi ya wasichana wamefaidika kwa kiasi
kikubwa kwa kuitumia internet kuweza
kuwapata watu wa kufunga nao ndoa au kuwa
nao kimahusiano. Baadhi wameingia kwenye
mitego toka kwa watu wa nchi za Magharibi
hadi kufikia hatua kujuta kwa nini
waliifahamu internet.
Hii hapa ni stori ya kweli inayomuhusisha
msichana mmoja Mcameroon aliyefahamika
kwa jina Elvire Axelle Tchamakoua.
NA HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA;
Axelle ni kahaba ambaye alikuwa akiuzwa kwa
wanaume tofauti tofauti na ambaye awali
aliamini ndiyo kila kitu kwake jamaa
aliyefahamika kwa jina la Jean Claude
(Mfanyabiashara wa Kifaransa). Hakujali
kuwahudumia wateja wake kwa huduma za
mbele au nyuma. Kwake yeye matumizi ya
condom akiwa kazini ilikuwa haijalishi kwa
maana iliwezesha yeye na huyo mwanaume
wake kuwa wanaingiza hela zaidi. Amekuwa
akifanya kazi hii kwa kitambo mpaka akawa
ameizoea hali hiyo. Kitu cha kushangaza ni
kwamba, Exelle ni msichana mdogo mwenye
umri wa miaka 24 na ana cheti cha mafunzo ya
mapambo na urembo. Iweje msichana mdogo
kwenye umri wake awe na tamaa ya kupata
hela za haraka? Ni swali ambalo watu wengi
wamekuwa wakiuliza.
Kwa mujibu wa taarifa alikutana na huyo bosi
wake, Jean Claude kwenye mtandao mnamo
mwezi Oktoba 2011. Walikuwa na chat za
kawaida kama ambavyo mtu mwengine yeyote
anavyoweza kuwa anachat na mtu
asiyemfahamu. Jean Claude alimueleza
msichana huyo kwamba yeye ni
mfanyabiashara anayeishi Marseille
(Ufaransa) na ni mtu wa biashara za kuingia
na kutoka. Axelle ambaye alifikiri kwamba
amepata mwanaume wa maisha yake
aliendeleza mawasiliano na Jean Claude
Fayard na ilipofika mwezi Machi 2012 jamaa
alikwenda kumtembelea msichna huyo kwao
Cameroon. Kulikuwa na sherehe kubwa kwenye
makazi ya shangazi yake Axelle yaliyopo Santa
Barbara ndani ya jiji la Yaounde. Siku mbili tu
alizokaa Cameroon, Jean Claude akamchumbia
Axelle na kumuoa kwa ndoa ya asili na ya
Kanisani. Ndoa zilifanyika tarehe 18 na 20 ya
mwezi Machi 2012.
Jean Claude alifanya maandilizi yote ya safari
kisha wote wawili wakasafirina kwenda
Ufaransa tarehe 21 Machi mwaka huo huo.
Jamaa pia aliwapa familia ya Axelle hela ya
kutosha kwa ajili ya kujikimu. Ila hawakujua
kwamba walikuwa wanamuuza binti yao kwenye
biashara ya Utumwa wa ngono, familia kwa
furaha na moyo mmoja ilibariki jambo hilo na
kuwaaga nao wakaelekea Ufaransa.
Ukweli juu ya mpango huu ni kwamba Jean
Claude ni dalali wa biashara ya ngono (pimp)
ambaye huwa anakuja Afrika na kuchukua
wasichana kisha kuwapeleka kufanya utumwa
wa kazi ngono nchini Ufaransa. Sababu Axelle
hakuwa anafahamu juu ya hili, hakika katu
asingetamani hata kufahamua internet ni nini
maisha mwake. Kwani mara baada ya wawili
hao kufika nchini Ufaransa, waliishi kwenye
kwenye mji uliojulikana kama Clermont
Ferrand kwa muda wa miezi 9 kabla ya
kuhamia sehemu nyingine mpya iliyojulikana
kama Lourdes. Ni kwenye mji huu ambapo
Axelle alikutana na maisha magumu ambayo
hakuwahi kuyafikiria maishani.
Siku chache baada ya kuwasili Lourdes,
mwanaume mmoja aligonga hodi na kuingia
ndani akisema alihitaji kuonana na Jean
Claude. Maskini Axelle alichofahamu yeye ni
kwamba, mgeni yule alikuwa ni
mfanyabiashara mwenzake na mume wake.
Wakati Axelle akimuita mume wake huku
akiwa anamuangalia mgeni, alishtushwa na na
kauli ya mume wake iliyomwambia "fanya
lolote ambalo mgeni atakutaka ufanye".
Siku chache baadae mara baada ya kutoka
kazini, Jean Claude alimkalisha chini Axelle
kisha akampa masharti ya kazi. Alimueleza
kwamba anatakiwa kulipa hela zote alizotumia
walipokuwa Cameroon. Alipiga mahesabu
yaliyozidi euro 3,000, na atafanya kazi naye
kwa miaka miwili mbele. Axelle ambaye ilikuwa
haongei alihisi kama alikuwa anaota. Hali
ilikuwa mbaya zaidi kwani Jean Claude
alikusanya kila kitu cha msichana huyo
vikiwemo vitu binafsi na dokumeti zake kisha
akavificha. Pia msichana huyo alizuiliwa
kupiga simu ya aina yoyote nje.
Kila siku alikuwa na wateja wa kiume ambao
walikuwa wanakuja kwa ajili ya huduma za
mbele na nyuma kwa muda wote walipohitaji
huduma. Aliamrishwa kufanya chochote wateja
walichohitaji. Walikuwa hawatumii kinga yoyote
walipokuwa wakijamiiana. Siku moja Jean
Claude alirudi nyumbani akiwa na mteja
aliyekuja na mbwa. Jamaa huyo ambaye
alijulikana kwa jina la Loiseau yeye aliweka
hela ya malipo kwenye akaunti ya Jean Claude.
Axelle ambaye hakuwa anajua kama hili
litatokea alisukumwa kwenye chumba na
kuamuriwa kufanya ngono na mbwa yule
kitendo ambacho alikifanya. Inasemwa
kwamba Jean Claude huwa anatengeneza hela
nyingi pale Axelle anapofanya ngono na
wanyama kitendo kilichofanya dili hizo kuwa
za kila siku.
Baada ya kuridhika kwa kuona msichana huyo
keshaingiliwa na mbwa, Jean Claude aliondoka
na Mr Loiseau wakimuacha Axelle peke yake
ndani. Baada ya kujaribu kutoroka kwa mara
kadhaa, msichana huyo alifanikiwa kuvunja
mlango na kukimbia mtaani ambapo alikutana
na Wacameroon wenzake waliokuwa wanaishi
kwenye mji huo. Walimsaidia kumpeleka
Ubalozini ambapo aliwaelezea mkasa wote.
Polisi nao kwa haraka wakafanikiwa kufika
nyumbani kwa Jean Claude ambapo walikuta
ushahidi uliothibitisha kuwa kweli alimteka
msichana huyo pamoja na mashitaka mengine.
Mara moja Jean Claude alikamatwa huku
akiwa anasubiri hukumu. Wakati huo Axell
alipanda ndege na kurudi nyumbani kwao
Cameroon na moja kwa moja alipelekwa
hospitali kwa vipimo na matibabu zaidi.
Angalia vile ambavyo Internet inaweza
kufanya kwa vijana wa nchi zetu, sio kila
king'aacho ni dhahabu.
Wapendwa kaka na dada zangu, kama kuna
mmoja kati ambaye angeweza kuzisikia baadhi
ya stori kusikitisha za Waafrika wanaokimbilia
mataifa ya wazungu, hakika sidhani kama mtu
ataweza kutaka kimbilia huko pasipo uhakika.
Yote kwa yote nyumbani ni nyumbani hata
kama serikali zetu na wa wanasiasa
hutuangusha.
Nini ambacho binafsi yako unafikiri juu ya hili,
nahitaji mchango wako....
TAFADHALI USISAHAU KU-SHRE KWA FAMILIA
NA MARAFIKI... UNAWEZA KUWA UNAOKOA
MAISHA YA MTU KAMA SIO YA WATU.

No comments:

Post a Comment

.