Blog ya matukio mbali mbali habari za michezo, burdani, udaku,n.k
Filam ya nisha Gumzo yaingia mtaani leo katika pitapita zangu kariakoo nilikuta jamaa wakiwa dukani wamepanga foleni kununua filam hiyo ya comedy aiseee ! Wewe sassa unaanzaje kukosa yaani kwa mfano??
No comments:
Post a Comment