Friday, February 28, 2014

HUYU NDIO MCHUMBA WA HEMEDY

Mbwembwe Zote za Hemed
yule wa Bongo Movie,Kwa
Mwanamke huyu ndio Kafika
Usiku wa Kuamkia Tarehe 27 Feb 2014
sammisago.com imekutana na hizi picha za
Hemedy akimbusu msanii wa muziki na
filamu Najma na maneno yalioambatana na
picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi.
imethibitisha kuwa picha hizi zimetokana na
scene za filamu wanayoigiza pamoja na kuwa
Hemedy sasa ni Mwanaume wa mwanamke
mmoja tu. Binti Huyu Anaitwa Mounah. Hii
Picha Wakiwa Pamoja.

No comments:

Post a Comment

.