TRUE STORY
Mambo Admin Jina langu naitwa Mwatuli kuna
mkaka
Alinitaka kimapenz nikamkatalia
akaniambia atanikomesha na hii sura
ninayoringia
siku moja nimetoka kwa mama mdogo nikakutana
nae pale njiani akiwa na vijana wa3 walinishika
na kunimwagia kimiminika cha baridi
dk kama 3 hivi nilianza kusikia maumivu makali
siwezi hata kusimulia....aah nliumwa sana
nkapiga
kelele wakaja wasamaria wema kunisaidia
nlipelekwa hosipitalini
naambiwa nilizimia kwa masaa 36 nimezinduka
nimeongea na dactari ananiambia kwa ile aina
ya
tindikali niliyomwagiwa naweza kupata kansa ya
damu!! Hivyo nahitajika kwenda nje ya nchi kwa
ajili ya
matibabu zaidi
ni nani atanisaidia masikini mimi naishi kwa
mama
mdogo na wazazi wangu walishatangulia? Ndugu
yangu binadamu mwenzangu nimekuja
kwako sihitaji pesa zako bali tu maombi juu
yangu
''naamini kwa MUÑGU hakuna linaloshindikana
namwOmba MUNGU kwa uweza wake afungue
milango yote itakayosaidia nipate afya bora na
faraja
yangu upya kama nlivokua zamani katika yeye
kila kitu kinawezekana'
Wednesday, February 19, 2014
INASIKITISHA SANA!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment