Sunday, February 23, 2014

KILICHOJIRI JANA USIKU NA WATSAP SOMA MWENYEWE HAPA LIVE!!


Baada ya mtandao wa mawasiliano ya ujumbe
mfupi wa simu WhatsApp kupata tatizo kwa
masaa machache watumiaji wa
mtandao huo wameingia kwenye mitandao
tofauti na kuanza kulalamika kuhusu facebook
kununua mtandao huo na kuamua kufunga
huduma yake ili facebook itumike zaidi.
Fahamu mmiliki wa facebook amelipia dola
bilioni 19 kununua mtandao huu.
Kupitia twitter account ya whatsup walitoa
taarifa kuwa walipata tatizo kubwa na
wanafanya marekebisha na kuwa mtandao huo
utarudi hewani baada ya muda mfupi.

4 comments:

.