Sunday, February 23, 2014

LULU ADAIWA KUKUWADIWA NA STEVE NYERERE !


Stori : Mayasa Mariwata
OOHOOO ! Elizabeth Michael ‘Lulu ’ amekwaa
skendo ya kudaiwa kukuwadiwa na
mwigizaji mwenzake , Steven Mengere ‘Steve
Nyerere ’ kwa mwanaume anayedaiwa kutoka
naye kimapenzi kwa sasa anayetajwa kwa
jina moja la Johnson .
Elizabeth Michael ‘Lulu ’.
Chanzo makini kilipenyeza ‘ upupu ’ huo
ambao umefafanuliwa na Steve Nyerere
kuwa ukaribu wa Lulu na bosi huyo
umetokana na kazi kwani yeye na Lulu
wameingia mkataba hivyo walitegemea
kusikia manenomaneno.
Lulu alipotafutwa kuhusiana na ishu hiyo ,
alitiririka: “ Wabongo wanapenda sana
kuzusha mambo, sijawahi kuwa na
mwanaume anayeitwa Johnson zaidi ya
kuwa bosi wangu .”

1 comment:

.