VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald
Waya ‘Masogange’ amewajia juu kundi
kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi
wakati wanatambua vyema kuwa ana mtu
wake .
Agnes Gerald Waya ‘ Masogange’.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi
karibuni , Masogange alisema tangu atoke
Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha
malighafi haramu , wanaume wakware
wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona
mfupa kitu ambacho hakubaliani nacho .
“Sitaki kutongozwa kabisa, waniache.
Kinachonikera zaidi wanaonitongoza wengi
wanatambua kabisa nina mchumba wangu
(Evance ) , watu wengine sijui wapoje!”
alisema Masogange .
Wednesday, February 12, 2014
MASOGANGE NA PICHA MITEGO HIXI LAKINI HATAKI KUTONGOZWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment