Wednesday, February 12, 2014

MAINDA ASAKA MUME

STAA wa filamu za Kibongo , Ruth Suka
‘Mainda’ amesema kwa sasa hahitaji
mchumba wala mpenzi , anahitaji mume wa
kumuweka ndani .
Akipiga stori na paparazi wetu , Mainda
alisema hata akifuatwa na mtu mwenye
fedha nyingi kutaka uhusiano naye , hawezi
kumkubalia kwani anachotaka sasa hivi ni
ndoa tu.
“Kwa sasa mpenzi wangu ni Yesu na
kutokana na yeye mume wangu
nimeshamuona kwenye maono …yulee
anapiga hodi sura yake, ” alisema Mainda.

No comments:

Post a Comment

.