Wednesday, February 26, 2014

RACHEL AFANYA BIRTHDAY,WASANII WATOKA NUSU UCHI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini,
Winfrida Joseph a . k.a Recho aliangusha
bethidei yake ya kutimiza miaka 24 katika
ukumbi wa Business Park wilaya ya
Kinondoni hivi karibuni ambapo wasanii
wengi walihudhuria na kufaidi kila aina ya
vinywaji na mapochopocho , idadi yao kubwa
kwa upande wa wanawake wakiwa wamevaa
mavazi yaliyowafanya kutoka nusu uchi .

1 comment:

.