Tuesday, February 18, 2014

TEAM NISHA JUZI WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA MWANA ORPHANS VINGUNGUTI,WATIA FORA NA T-SHIRT ZA GUMZO

Nisha na team yake juzi walipo tembelea watoto yatima huko vingunguti katika kituo cha mwana orphans waliwapatia vyakula pamoja na vifaa vya shule na kuahidi kurudi kila mwisho wa mwezi kuwa saidia watakacho jaaliwa. Team nisha walionekana wakiwa wamevaa tishert zikiwa zimeandikwa GUMZO hilo ni jina la movie yake mpya itakayo ingia sokoni hivi karibuni.
Bado siku 8 tu filamu ya Gumzo itoke hakikisha hukosi nakala yako kwani ndani ya filamu hiyo nisha kaja tofauti kabisa hii ndio filamu iliyomfanya mpk akaumwa na kuzimia kisa ni kutakiwa kucheza scene ambayo alitakiwa apungue so diet ilimpelekea mpk kuumwa!UNAKOSAJE SASA YAANI KWA MFANO??.....

3 comments:

  1. Allahu Akbar, kwa mola kila kitu kinawezekana,hao ni watoto wa mola na ni watoto wetu hatuna budi kuwa nao karibu,ahsante sana Wakishua.

    ReplyDelete
  2. inshaallah mwenyezi mungu awaongezee zaidi ya mlichotoa na mungu akusimamie filam yako ije kuwa Gumzo kama jina lake karibu sana Wakishua tupo pamoja na wewe one love

    ReplyDelete
  3. PAMOJA NISHA BEBE K2 CHA GUMZO KINASUBIRIWA

    ReplyDelete

.