BREAKIN NEWZZ:- HABARI
Habari za Super Star Model Jacky Cliff aliyeko
Rumande huko Macau/China kwa kunaswa na
Sembe ni kwamba hatanyongwa ila atakula at
least mvua 16, halafu majuzi ameambiwa rasmi
kwamba kesi yake haitaanza mpaka baada ya
Mwaka Mmoja na Nusu au Miwili inategemea
itamchukua muda gani kujifunza Kireno lugha
ya Taifa ya Macau. Sheria ya kisiwa hicho
inasema kwamba hakuna mshitakiwa yoyote
katika Taifa hilo aatakayepelekwa
mahakamani mpaka Mahakama iridhie kwamba
anajua Lugha hiyo ya Taifa inayotumika
Mahakamani na si vinginevyo. Kwa hiyo Jacky
ameambiwa kwamba aaanze sasa kujifunza
lugha hiyo akiielewa kwa haraka ni bora kwake
ila Sheria inatoa Mwaka Mmoja mpaka Miwili
kujifunza lugha hiyo kwa ufasaaha. Habari
zaisi za mtaani zinasema Super Model huyo
amekuwa kijihusisha na shughuli hizi kwa
takribani Miaka 5 sasa na kwamba amekuwa na
tabia ya kuitumia kidogo kidogo sembe hiyo.
Siku ya siku ilipotimia inasadikiwa alikuwa
wamevuta kidogo kutokana na kosa kubwa
alilolifanya la kuingia VIP ya Uwanja wa Ndege
wa Macau huku akijua wazi kwamba hana Tiketi
ya kwenda huko kwa wanene, kucha mengine ya
kuchomewa mapema na maadui zake hilo peke
yake iliwashitua sana Askari wa Usalama
uwanjani hapo na kuanza kumtilia shaka sana
na hasa panic aliyoionyesha baada ya
kurudishwa kutoke VIP ndipo alipoishia
kunaswa live amejilipua na sembe kibao
tumboni mwake.
Friday, January 3, 2014
BREAKIN NEWZZ:- HABARI ZA KWANZA MPYA ZA JACKY CLIFF HUKO RUMANDE YA MACAU/CHINA LIVE!! & NDEGE WA RANGI MOJA KWENYE PICHA LIVE!! AGNESS MASONGANGE & JACKY CLIFF LIVE!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment