“Umemwona Wema, kwa sasa ana ngozi nzuri
yenye afya na iliyo na mng’aro kama alivyokuwa
awali,ni nzuri sana yani, ameacha kabisa
kutumia dawa za kung’arisha ngozi hilo ndilo
lililonivutia zaidi kwani alisikiliza ushauri
niliompa kabla.”
Hiyo ni kauli ya staa aliyetikisa mwaka 2013
bwana Diamond Platnumz aliyoitoa hivi karibuni
alipokuwa akizungumza na gazeti maarufu la
michezo nchini hivi karibuni.
Diamond amesema Wema ndiye mwanamke
anayetamani kuwa naye katika maisha yake,
hivyo kauli yake aliyoitoa mwanzo kuhusu kuzaa
na Wema ipo mbioni kutimia.
“Miezi kadhaa nyuma niliongea kuhusu nia
yangu ya kuzaa na Wema, wakati huo nilikuwa
bado na Penny, siwezi kukimbia kivuli changu
kwani ukweli unabaki palepale nampenda yule
binti, japokuwa wapo wanaosema kwamba
sijatulia au natafuta ‘kiki’ kupitia warembo
hawa, si kweli, Wema nilikuwa naye kabla ya
Penny na vigezo vyangu ni mchumba anayejali
kazi yangu na kujua kwamba mimi ni staa
nahitajika sehemu yoyote, muda wowote, Wema
ni mwelewa.” Alisisitiza Diamond
Friday, January 3, 2014
Diamond aisifia ngozi ya Wema, adai ina mvuto na ina mng’aro kuliko kitu chochote.!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Matubwa haya mala siwezi rudiana naee mara nampendaa mara kamrecord hahaha kuna mtu alisema wanafake tu hao wapaishwe magezitin lakin wema na D wanaendeleaaa
ReplyDelete