Stori : Gladness Mallya
STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh
‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu
ambao haujulikani.
Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh
‘Amanda ’.
Katika mazungumzo na paparazi wetu ,
Amanda alisema : “ Naumwa sana na
nimechukua vipimo vingi ikiwemo malaria na
presha pale Agha Khan ( hospitali) lakini
hakijagundulika chochote ingawa mwili wote
unauma .”
No comments:
Post a Comment