Stori : Brighton Masalu
MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Hemed
Suleiman ‘ PHD’ amefunguka kuwa
anachukizwa na tabia ya watu kumwita tozi
au mtu wa maringo.
Hemed Suleiman ‘PHD’ .
Hapa anafafanua: “Wananihukumu kwa
macho , mimi siyo tozi ila usafi wangu na
kutoonekana mara kwa mara kunanifanya
nionekana hivyo lakini kiuhalisia siko
hivyo.”
No comments:
Post a Comment