Saturday, March 1, 2014

WASTARA : NINAHITAJI KUPUMZIKA , KUJIFUNGIA


Stori : Brighton Masalu
STAA wa kike mwenye uwezo wa kucheza na
hisia kwenye filamu za Kibongo, Wastara
Juma, amesema kwa sasa anahitaji muda
mwingi wa kupumzika kutokana na
misukusuko mingi iliyomkumba siku za hivi
karibuni .
Wastara Juma .
Akiteta na paparazi wetu kwa sauti ya chini
na ya upole alisema : “ Nahitaji muda mwingi
wa kupumzika jamani, kuna mambo
yameniondoa kabisa kwenye ‘mudi ’ ya
kawaida hivyo natumia muda mwingi kuwa
peke yangu . ”

No comments:

Post a Comment

.