Saturday, March 1, 2014

SHARAPOVA, MWENZAKE WAMMIMINIA MABUSU NYAMWELA


Stori : Mwandishi Wetu
MAHABA ? Mnenguaji grade one Bongo , Asha
Sharapova na mwenzake , Titi Mwinyi
wamenaswa wakimmiminia mabusu
motomoto, mnenguaji mwenzao wa Bendi ya
Extra Bongo, Super Nyamwela .
Mnenguaji mpya wa Bendi ya Extra Bongo
‘ Wazee wa Kizigo ’, Asha Said ‘Sharapova ’ .
Tukio hilo lililogusa hisia za ‘ wataalam wa
mambo’, lilitokea hivi karibuni pande za
Sinza - Afrika Sana jijini Dar. Nyamwela
alipoulizwa kuhusiana na ishu hiyo , alisema
ni ishara ya upendo wa kawaida na hakuna
cha ziada .

No comments:

Post a Comment

.