MWIGIZAJI Jacqueline Wolper , amesema
anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa
kama moto wa kifuu kitaani kuwa
anajihusisha na vitendo vya usagaji .
Jacqueline Wolper .
Akizungumza na paparazi wetu kuhusiana
na skendo hiyo , mwanadada huyo alisema ,
akiwa kama mwanamke anayejitambua na
kumtukuza vyema Mungu wake jambo hilo
limekuwa likimuumiza .
“Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo
taarifa sijui niongee nini ili jamii inielewe
kile nitachokizungumza, ni ngumu sana
kufanya hicho kitu ambacho najua
hakimpendezi Mungu kivyovyote vile , ”
alisema Wolper .
Monday, March 3, 2014
WOLPER ATESWA NA USAGAJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment