Saturday, March 1, 2014

ZAMARADI MKETEMA KUZINDUA KIGODORO LEO DAR LIVE

Zamaradi Mketema leo anazindua filam yake iitwayo kigodoro Darlive mastar kibao watakuwepo kuonyesha ufundi wa kucheza kigodoro km usindikizaji wa uzinduzi huo watakuewepo Wema,Kajala, Shamsa na wengine kibao! Dress code ni yeyote lakini wema na team yake yaani team wema wana sare yao ya madila so. Km wewe ni team wema utamchek wema upate hiyo sare! Unaanzaje kukosa sasa yaaani kwa mfano??kiingilio ni 5,000/- si sawa na bure hii?

No comments:

Post a Comment

.