Mwanamuziki raia wa Ghana anaeishi nchini
Uingereza FUSE ODC Maarufu kwa jina la Azonto
amempa shavu baunsa maarufu nchini Mwarabu
Seleman Mirundi maarufu kwa jina la Rose ya
kumpa ajira ya kudumu ya kumlinda kwenye.
Akiongea na Maskani Bongo baunsa huyo
alisema kuwa “ Nimepewa shavu hilo na Azonto
baada ya kufanyanae kazi hivi karibuni
alipokujaa nchini kimsingi mshikaji amenikubari
na tayari ameshanitumia pesa yaa nauli na
yakurekebishia mambo mengine hivyo huenda
siku za hivi karibuni nitapasua anga kuelekea
Uingereza” Alisema Rose
Azonto ambae alikuwa nchini miezi michache
iliyopita aliletwa na kituo cha Radio Times na
kufanikiwa kufanya onesho kubwa na la
kihistoria kwenye viwanja vya Ustawi wa Jamii
Jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya
wananchi.
Baunsa huyo ambae pia ni mcheza mieleka wa
kujitegemea ambae hivi karibuni alikuwa nchini
Iran kwenye mapambano ya mchezo huo.
Friday, December 13, 2013
ANZONTO AMPA SHAVU BAUNSA WA KITANZANIA, AMUITA NCHINI UINGEREZA! SOMA ISHU NZIMA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mtasikia karudi huyo
ReplyDelete