Friday, December 13, 2013

IVO MAPUNDA ASAINI MKATABA WA KUICHEZEA SIMBA KWA MUDA WA MIAKA MIWILI..!!


Kipa Ivo Mapunda akitia dole gumba kwenye
fomu za usajili za Simba SC baada ya kusaini
usiku huu pembeni ya Katibu wa Simba SC,
Wakili Evodius Mtawala kulia Ivo anasaini Simba
SC, KIPA namba moja wa Tanzania, Ivo Philip
Mapunda, usiku huu amesaini Mkataba wa
mwaka mmoja na nusu kujiunga na klabu ya
Simba SC ya Dar es Salaam, akitokea Gor Mahia
ya Kenya.baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha
Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika
michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika
Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka
huu.

No comments:

Post a Comment

.