Hivi ndivyo paparazi wetu alivyomnasa tcha
huyu wa sekondari mkoani Dodoma akiuza
kahawa mtaani ili kujinusuru na ukata wa
maisha magumu ya kitaa,
''Leta chikompe kyako nkupe kyai kya mata na
kyai kya kapyaru...au kiguuju'' tcha jimmy:
Pia mwalimu huyo pamoja na shughuli zote za
uwalimu na kuuza kahawa pia na msanii
anayefanya vizuri kwenye Game la music
husasani mkoa wa Dodoma, hembu sikiliza
ngoma yake hapo chini
Wednesday, December 4, 2013
BAADA YA SHULE KUFUNGWA MWALIMU WA SEKONDARI AMUA KUUZA KAHAWA MTAANI:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment