Friday, December 6, 2013

BIFU LAZIDI KUPAMBA MOTO: BABY MADAHA AMCHANA TENA DIAMOND BAADA YA DIAMOND KUMDISS


Baada ya mwanamuziki wa kizazi kipya
kufunguka na kuamua kumdiss mwanadada
baby Madaha a.k.a The Bad Gul kuwa
hawalingani hivyo hana muda muda wa kuwa na
beef na mrembo huyu wa filamu na muziki
bongo, hatimaye tumeweza kumpata baby
Madaha na kufanya naye EXCLUSIVE interview
na mwanadada huyu kuhusu hayo mazito
aliyoyasema bwana platnumz. Na kwakuwa
mwaka huu ni mwaka wa kufunguka bila kuficha
chochote binti huyu aliamua kuanika yake ya
moyoni kama yanavyosomeka hapo chini….
Baby alianza kwa kusema
“….Kwanza nitafute keeck kwa diamond kwa
lipi,wakati anakuja kuniomba kuperfome 2010
akiwa ana single moja ya mbagala pale maisha
plus mimi nikiwa judge na kina masoud,tayari
nishafanya album ya amore india na nishapiga
show kibao,wakati yeye akifikiria amkamate
demu gani ili a hit kimuziki mimi tayari
nishafanya movie tatu na moja imeshinda ziff tz
na ziff berlin,akiendelea kuwapanda kama farasi
hao wajinga wajinga wenzie mie tayari nina tuzo
tatu ziff ambazo hata marehemu kanumba
angefurahi kupata japo moja(rip)….”
“…..Wakati sasa anaongea blah blah akiwa na
single yake moja mpya akihangaika kwenda
nigeria kuonyesha skin tight yake ya mistari na
kuomba omba collarbo, mi tayari nina single tatu
hit na najiandaa kushusha movie kali
mpya,tatizo ni kutotaka kukosolewa na kujiona
mungu mtu kwenye muziki lakini ukweli anaujua
na hata yeye anauogopa kama anabisha afanye
nao collarbo anahangaika nini na wote
wanaimba bongo flava??upuuzi na ujanja ujanja
tu wa mjini unafanyika huku wale punda wake
wakikubali kumbeba kwa malipo gani
umaarufu???mi sijautafuta kwa nguvu hiyo,
nimepikwa bss na watu wakaniona na
wakanitambua.kama ni suala la pesa hata
asiongee launching yangu ya (kempinsky)hyatt
regency 2010 hakuna msanii yeyote wa bongo
flava including na yeye ameweza kufanya jeuri
hiyo,aliyejaribun labda yule demu wake wa
zamani aliyemshit pia kwa vihela vyake mbuzi…”
“….Akiwa bado anastruggle kupata mkwanja
awatishe tishe watoto wenzake wa tandale..mimi
nishazindua brandy yangu ya manukato na gift
bagz zangu ambazo zinaingia sokoni rasmi 31
december…bado anachanja na prado old
model,asogee kwenye audi tt yangu apunge
upepo yani ye anatafutaa..mi nishapata so wa
nini???wanaompapatikia ni wale drama queens
wenzie, mi ama bad gul sijali kama kumchana
namchana tu so wat??,scandal kitu gani?ye
sukari guru ata survive si tandale bwana eeh,
vipi wale kwenye list za kubadilishwa kama nguo
za ndani je watapata wa kuwaoa???/… wakija
forbes hapa watu wataumbuka ooh na hekalu
langu kuubwa unakaaje kwenye nyumba ya
kupanga?haliishi??hahahaha na kuhusu ati mimi
nimesema ana paja la mtoto wapi na wapi he is
not ma type at all si hook na little mama’s boy
na hook up na big boys tu…”
“…. Mi sio wale farasi zake wanaopokezana
kupandwa na yeye after role kuambiwa ukweli sio
bif kweli mzinzi na hajui kuimba kama sio kweli
atulie tu asipande pande hapo tutamwona
mfalme kweli kama mzee yussuf,mimi naimba
aina yangu ya muziki tanzania nzima nipo peke
yangu hakuna demu anapiga riddim,ragga sasa
natafutaje keeck kwa bongo flava????anaeimba
nyimbo zake za kipuuzi kutaja taja farasi wake
ana (tusi kali sana) angekuwa ameni***** sawa
but mpaka anakufa i think atakuwa ananiota
mimi na lulu……….kama mbwai mbwai mjini hapa
kila nyumba ina namba..adios…”
Hatuna la kuongezea hapo, kazi yetu ni
kuwajulisha kinachotokea tu mjini hapa.

1 comment:

  1. Kwan ametongozwa au kutakwaa hayo ya kama angekua ananitaka kama angekua amenipanda mara vile mbona anamengianajiongelesha haijarishi umeaanza mziki naye kaja nyuma yako tunaangalia salio bank linasomajeee

    ReplyDelete

.