KATIKA hali inayoonesha kuna kitu kikubwa
kinakuja mbeleni , msanii wa filamu , Chuchu
Hans amejichora ‘ tatuu ’ inayosomeka kwa
jina la Ray huku anayedaiwa kuwa mpenzi
wake, Vincent Kigosi ‘ Ray ’ naye akiwa
amejichora tatuu inayosomeka kwa jina la
Chuchu.
Ray na Chuchu.
Picha ambazo gazeti hili limezinasa
zinawaonesha wawili hao wakipigia ‘ promo ’
uhusiano wao huku wadau wengi
wakiyafananisha mapenzi yao na ya njiwa .
Ili kujua undani juu ya jambo hilo, mwandishi
wetu aliwatafuta wasanii hao ambapo
Chuchu alionekana kukerwa na swali hilo na
kujibu kwa ufupi kuwa hataki kusumbuliwa .
“Hivi hamchoki kufuatilia maisha ya watu
jamani? Naomba mniache, ” alisema Chuchu
Hans.
Kwa upande wa Ray , simu yake ya mkononi
iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa.
Friday, December 13, 2013
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY , RAY AJIBU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hahahaha wamuulize Diva
ReplyDeleteMbona majanga
ReplyDeleteatajuta afu chuchu c mke wa mtu huyu?mweh
ReplyDelete