Hahaha Diamond kanichekesha sana jana. Baada
ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila
pande pamoja na mashabiki wake kuhusu suruali
yake aliyo vaa kwenye harusi ya P-Square
(pichani), jana ameitinga tena na kurusha picha
Instagram akiambatanisha na kadua ili watu
wasimchambe.
utajijuuii domo
ReplyDelete