RAIS wa zamani wa Afrika Kusin, Nelson
Rolihlahla Mandela ‘ Mzee Madiba ’ alikuwa
kipenzi cha wengi mashuhuri duniani na
baadhi yao walipokuwa wakitangulia mbele
ya haki yeye alijua zamu yake itafika .
Mandela na Princess Diana ( kulia ) .
Mandela alishajiandaa kwa kifo tangu mwaka
1964 alipotoa hotuba ya ukombozi na
kusema wazi kwamba alikuwa tayari kufa
kwa ajili ya kupigania demokrasia ya nchini
yake.
Rais wa Kwanza wa Tanzania ,
hayati Julius Nyerere ( alifariki dunia Oktoba
14,1999 ) na Mandela .
Maneno hayo aliyarudia tena April 20, 2011
akisisitiza kwamba hakuwa akikiogopa kifo
kama walivyo wengine na alijua siku moja
atakufa na kuwa tayari kwa tukio hilo.
Mandela na Muammar Gaddafi
aliyekuwa Rais wa Libya ( aliuawa na waasi
Oktoba 20, 2011 ) .
Kwa maana hiyo , hata baadhi ya watu
maarufu aliopata kupiga nao picha
walipotangulia kwa miaka tofauti , Mzee
Madiba alijua kwamba zamu yake ilikuwa
ikikaribia.
Mandela
na Michael Jackson ( alifariki dunia Juni 25,
2009) .
Baadhi ya viongozi na watu maarufu aliowahi
kupiga nao picha na wakamtangulia ni
pamoja na Rais wa Kwanza wa Tanzania ,
hayati Julius Nyerere ( alifariki dunia Oktoba
14, 1999 ) .
Mandela na Kiongozi wa
Wapalestina , Yasser Arafat ( alifariki dunia
Novemba 11, 2004 ) .
Wengine ni mwanamuziki maarufu duniani,
Michael Jackson ( alifariki dunia Juni 25,
2009) , aliyekuwa Kiongozi wa Wapalestina ,
Yasser Arafat ( alifariki dunia Novemba 11,
2004) , Muammar Gaddafi aliyekuwa Rais wa
Libya ( aliuawa na waasi Oktoba 20 , 2011 ) na
mwanamuziki wa Marekani , Whitney Houston
( alifariki dunia Februari 11, 2012 ) .
Friday, December 13, 2013
EXCLUSIVE: MANDELA ALIJUA SIKU MOJA ATAWAFUATA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment