Sunday, December 8, 2013

GOLKIPA IVO MAPUNDA AWA LULU YANGA NA SIMBA ZAMMEZEA MATE BAADA YA KUIBUKA SHUJAA JANA


Golkipa mkongwe wa hapa Tanzania Ivo
Mapunda Ambae Anaichezea Team ya Gor
Mahiya ya Kenya kama mchezaji wa kulipwa
Jana kwa sasa ni kama Lulu Kwa Team Kongwe
za Yanga na Simba ...Jana Aliziirishia Tanzania
Kuwa Yeye bado yumo Baada ya Kudaka Penati
Tatu na Kuiwezesha Tanzania Kutinga Nusu
Fainali za Kombe La Challenge Huko Kenya ...Ivo
Mapunda anakaribia Kumaliza Mkataba wake na
Gori Mahiya, Japo Gori wameonyesha nia ya
kumuongezea mkataba lakini Simba na Yanga
nao Wanamdondoshea Mate ..

1 comment:

.