Mshiriki Hope toka Burundi amejikuta akianguka
chini kwa mshituko wa furaha ulimkuta baada
ya kuibuka kidedea kwa kutangazwa mshindi wa
Tusker Project Fame na kujinyakulia kitita cha
Shilingi 5,000,000/= za Kenya .
Mashindano hayo yaliyomalizika hivi punde usiku
huu yamemwacha Hope katika taharuki huku
akiwabwaga wenziye; Hisia (Tanzania), Patrick
(Rwanda),Wambura (Kenya), Daisy
(Uganda),Amos & Josh wa Kenya(Pichani chini).
Sauti ya pekee ya kijana huyo imeibua thamani
yake katika tasnia ya muziki,Hope hakuwahi
kufanya video shooting ya wimbo wowote zaidi
ya ule uliompatia ushindi wa Tusker.
Tembelea You-tube kuona yaliyojiri katika
mashindano hayo.
Sunday, December 8, 2013
HATIMAE HUYU NDIO MSHINDI WA TUSKER PROJECT FAME 6 MWAKA 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ayaaaaaaaaaaah tugawane aiseeeee hongeraaaaaaaa
ReplyDeleteDaah jana nimefurah sana Dogo kushinda anasaut ambayo niyakipekee sana
ReplyDelete