Inawezekana ukawa unajua but in real sense
unahitaji kujua zaidi na Swahilitz ipo kukupa
exclusive, mkali wa movie kwa sasa Jackline
Wolper , mwanadada hustler aliyezaliwa tarehe 6
December huko mjini A- town, ni ukweli
usiofichika kwamba Wolper ndio msanii bize wa
kike mwenye kazi nyingi zaidi katika Bongo
movie kwa mwaka huu.
Jacklin aliyewahi kwenda kwenye audition ya
Planet bongo ya host Salama J hii inaweka wazi
kama ni real hustler and that has no doubt kama
hakuja Dar kupiga picture kwa bahati mbaya
hakuweza kufanikiwa lakini hiyo haikumrudisha
nyuma na ndio ilikuwa sababu ya yeye kujituma
zaidi na zadi na hivi sasa Jackline Wolper ndio
msanii busy wa kike kuliko wote East Afrika
akiwa ameshafanya movie kumi na moja toka
feb 22 mpaka oct 20 mwaka huu. Hicho ni
kiwango kikubwa kuweza kufikiwa kwa wasanii
wa kike hapa nchin ambao wanafanya vizuri with
high pay.
Curently ukitaka kuongea deal na Wolper
ujipange, kama Diamond alivyofika dau la Million
kumi per show Jackline Wolper ameweza kufikia
mpaka Million tano per movie.
Sunday, December 15, 2013
HAYA NDIYO MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU JACKLINE WOLPER NA HIKI NDIYO KIASI ANACHOPATA KWA KILA MOVIE MOJA..!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment