Mtandao ambao hujishughulisha kutengeneza
stori za uongo ambazo watu wengine hutokea
kuamini kwamba ni stori za kweli, umeripoti
kuhusu mpango mpya wa Askari wa New York
Marekani kumpiga busu kila mshukiwa wa
uhalifu wanaekutana nae mtaani.
Kwenye ripoti hii ya uongo imeripotiwa kwamba
baadhi ya wakazi wa New York waliandamana
kupinga mpango huu mpya wa polisi ambao
unaingilia uhuru wao ambapo Meya wa New York
amesema huu mpango utasaidia wakazi wa New
York kuwa salama zaidi ambapo Polisi
wanatakiwa wakimshuku mtu, wamsimamishe,
wamuhoji na kabla ya kumuachia wampige busu.
Hiki ni kichekesho, yani hata unapotazama hii
video hapa chini unaweza kuamini ni stori ya
kweli kabisa wakati sio…. jinsi mtangazaji
alivyo serious kuanzia usoni mpaka kwenye
kuongea pamoja na anaowahoji…
Friday, December 13, 2013
HII KALI SANA..!! POLISI KUMPIGA BUSU MSHUKIWA YEYOTE WANAOMKAMATA BILA KUJALI NI MWANAMKE AU MWANAUME..!! SOMA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hahahahahaaa
ReplyDelete