Wednesday, December 4, 2013

HII NDIYO TAHADHARI ILIYOTOLEWA NA KAMPUNI YA PORSCHE KUHUSU GARI NILIYOSABABISHA KIFO CHA PAUL WALKER NA ROGER RODAS


Kampuni inayomiliki gari za Porsche ilitoa
taadhari kwa maduka yanayouza gari aina ya
Porsche Carrera GT kuwa sio gari ya kawaida na
haitakiwi kuendeshwa na dereva wakawaida tu.
Taadhari hio inaendelea kusema
kuwa Carrera GT ni gari iliyotengenezwa na
kiwango cha karibu sana na gari za mashindani
so inamadharana inahitaji uangalifu unaoipa
gari ya mashindano ikiwa barabarani.
Taadhari hii imetumwa kwenye maduka yote
kutoka Makao Makuu Ya Porsche toka mwaka
2004 siku chahce kabla ya Carrera GT Kuingia
sokoni.
Taadhari hii pia inamwambia dereva kuhusu
barabara ya kupita wakati unatumi gari hiii.
Report iko hapa.
Kutoka kwa repoti hii hakuja saidia uchunguzi
wa sababu ya ajali hii baada ya kuona kuwa
barabara waliyotumia ilikuwa barabara bora
sana kama barabara zingine kwenye mitaa hio
na kuwa Roger alikuwa dereva mzuri sana na
mpaka sasa polici hawajasema chanzo cha ajali
isipokuwa kasi tu ya gari hio ndio imesababisha
vifo vya watu hawa wawili. Sammisago.com
itakufahamisha habari mpya kuhusu hii story.

No comments:

Post a Comment

.