Wastara akiwa katika pozi na Bond za picha,
:- Mtaani ni noma wegi wamlilia Wastara,
:- Hofu yatawala mahusiano yao
BAADA ya mikasa na kashifa kutulia kunako
tasnia ya filamu Swahiliwood balaa limezuka
upya, ni zamu ya Wastara Juma ‘Stara’ baada
ya kusemekana anatoka na mpenzi wake mpya
ambaye ni Producer wa filamu aliyefahamika kwa
jina la Bond Bin Sinnon ambaye pia ni Presenter
wa kipindi cha Cut & Action ambacho uruka
katika televisheni ya Channel Ten.
Habari za uhakika zilitua za ndani kuhusu wawili
hao zilisema Bond ambaye aliwahi kuwa na
mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4
na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambaye
kipindi fulani aliwahi kukiri kwenye vyombo vya
habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka
wake ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile
tangu akiwa mdogo.
Wastara akiwa na marehemu Sajuki enzi za Uhai
wake
Wastara akiwa na Bond katika mapozi
Stara akiwa katika picha ya pozi.
Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa
Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana
kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri
kuwa Wastara awe makini katika uhusiano wao
la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia
yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu. Aidha
chanzo chetu cha habari kimesema kuwa Bond
ambaye tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa
na mpenzi hadi anampata Stara, ” Huyo Bond
anaogopwa sana na mabinti kwa sababu ya
kauli ya Anti Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka
wake ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile
hivyo hakuna msichana yeyote anayemkubali
kwa hofu hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa
wamepatana kiasi hicho” Kilisema chanzo hicho.
Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa
siri sana lakini hivi sasa kila kitu kipo wazi hadi
ndugu wa Wastara wanamjua Bond kama
shemeji yao, Mapaparazi wa Xdeejayz walifunga
safari hadi Tabata jirani kabisa na anapoishi
Wastara ili kupata umbea ambapo majirani hao
walifunguka” Aaah na nyie waandishi mko wapi
siku zote bwana? Wastara na Bond ni mke na
mume mbona wala hakuna kificho tena Wastara
sasa amerejesha furaha ya maisha kwa
malavidavi ya Bond ambapo wanaishi pamoja
kupika na kupakua,” alisema jirani huyo
aliyejitambulisha kwa jina la Amina
uhusiano wao ulianza siku ambayo Bond
alimfanyia interview kwenye kipindi cha Cut &
Action na baadae wakageuza na kuwa wapenzi
kabisa hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Wastara na
Bond.
Hata hivyo Xdeejayz iliwavutia waya wawili hao
kuzungumzia ishu hiyo lakini simu zao ziliita tu
bila majibu hadi habari hii inaruka hewani!
Source XDEEJAYZ.
Wednesday, December 4, 2013
HUU NDO UKWELI KUHUSU WASTARA KUA KWENYE UHUSIANO NA STAR HUYU WA BONGO MOVIE. SOMA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment