Friday, December 13, 2013

HUU NDIYO UKWELI KUTOKA KWA "OPRAH" MWENYEWE KWANINI HANA MTOTO.SOMA HAPA


Kwenye taarifa za hivi karibuni za Waandishi wa
Hollywood, Oprah amefunguka juu ya kwa nini
hana watoto na ukweli wa juu ya hali hiyo
kutohusani na wanachohisi wengi kwamba hana
uwezo wa kushika ujauzito huku akielezea kwa
sababu kuu ni yeye kutaka kuwa mwanamke
mwenye nguvu.
“Kama ningekuwa na watoto, watoto wangu
wangenichukia. “Wangeishia kwenye hali ya
kuniongelea kama ilivyo kwenye Oprah show;
sababu kuna kitu katika maisha yangu
kingeishia kuteseka na inawezekana kabisa
wangekuwa wao. Gayle [King, rafiki wa karibu
Winfrey ambaye ni mama wa watoto wawili]
alikuwa ni aina ya mtoto ambaye, kwenye
daraja la saba la darasa, alikuwa anaandika
jina lake chini na majina ya watoto wake.
Wakati alipokuwa na ndoto hizo za mchana,
nilikuwa na ndoto za mchana juu vipi naweza
kuwa Martin Luther King.

1 comment:

.