Prezzo hajapasau kwao Mwanza aka Rock City.
Pamoja na kuwa mfalme wa bling Afrika
Mashariki na kufahamika kwa kuishi maisha ya
kifahari, Lakini Hivi Karibuni Alikwenda Mwanza
Kutoa Misaada Kam Jinsi Moyo Wake
Ulivyomyuma, Kuweza Kusaidia Watoto Hao
Wasio na Misaada.
Picha mbalimbali za Prezzo akiwa kwenye kituo
cha Upendo Daima Childrens Home cha Mwanza
Wiki hii aliungana na dada zake Hellen na Kivila
Matata wa Mwanza kwenda kutoa misaada
kwenye kituo cha kulelea watoto yatima cha
Upendo Daima Childrens Home.
Rapper huyo wa Kenya ameshare picha
zinazomuonesha akikabidhi misaada mbalimbali
kwenye kituo hichoKupitia Instagram na katika
picha moja wapo aliandika: Fruitful day it was at
#UpendoDaimaChildrensHome with my
#MaLilSistaz @kaykivila @hellenmatata
@rajaray254 @swai smith #rock city.”
Baada ya kurejea Kenye, aliandika: Back from
Mwanza & it’s business as usual phne been off
the hook. Thank God the day is over, about to
turn up 4 the long weekend #HeavyIsTheHead
#CrownHolder #Rapcellency.”
Friday, December 13, 2013
PICHA; PREZZO AENDA KWAO MWANZA , KUTOA MISAADA KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mswatii
ReplyDelete