Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United
na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza
nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa
nywele mwaka jana.
Picha ya Wayne Rooney kabla ya kupandikiza
nywele na baada ya kupandikiza nywele
Kituo cha runinga cha KTN cha nchini Kenya,
kimedai kuwa Rooney amekuwa akimsumbua
doctor wake kumtaka amrudishie pesa zake
baada ya kupata madhara ya kupoteza nguvu za
kiume kutokana na kupandikizwa nywele bandia
kwenye kipara chake,hali iliyopelekea
kusababisha mgogoro mkubwa ndani ya familia
ya mchezaji huyo.
Wednesday, December 4, 2013
INADAIWA WAYNE ROONEY AMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME BAADA YA KUPANDIKIZA NYWELE BANDIA KISHWANI..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment