Thursday, December 5, 2013

JANUARY MAKAMBA KUUNGURUMA DMV JUMAPILI HII


Naibu waziri wa Mawasiliano , Sayansi na
Teknologia, Mhe. January Makamba.
Jumuiya ya Watanzania DMV inapenda
kuwakaribisha Watanzania wote siku ya
Jumapili Desemba 8 , 2013 Mhe. January
Makamba atakapoongea na wana DMV na
kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu.
Mkutano huo utafanyikia Mirage Hall anuani
ni 1401 university Blvd, Hyattsville, MD 20783
pia Bw. Mayingu na msafara mzima wa
kutoka mfuko wa pensheni watakuwepo
kuelezea habari njema kutokana na mfuko
huo.
Muda ni kuanzia saa 11 jioni na tunaomba
tuzingatie muda . Vimiminika vyepesi na
Vitafunwa vitakuwepo Karibuni sana na
ukupata ujumbe huu tafadhali mtaarifu
mwenzako

No comments:

Post a Comment

.