Huu ndiyo muonekano mpya wa mwanadada
Jokate Mwegelo, Swahilitz inakupa fursa ya
kutazama muonekano mpya wa Jokate ikiwa ww
ni kama shabiki wake mkubwa. Umeupenda
muonekano huu au hujaupenda?? huyo ndiyo
Jokate Mwegelo, Mfollow instagram kwa kubofya
hapa usije ukawafollow matapeli maana
wamejazana mitandaoni
No comments:
Post a Comment