Wednesday, December 4, 2013

MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA YANUKIA


*Mbivu na mbichi kujulikana Ijumaa
Brazil *Hurst, Cafu, Zidane, Cannavaro
kuchagua Tunaikaribia siku kubwa
ambapo Shirikisho la Soka la Kimataifa
(Fifa) litapanga makundi ya timu kwenye
fainali za Kombe la Dunia linalofanyika
Brazil 2014. Fifa itaweka hadharani
makundi hayo Ijumaa hii, na eneo la
kupangia ni Costa do Sauipe, jimbo la
Bahia, Brazil ili watu wajue kipute
kutakachoanza Juni 12 hadi Julai 13
mwakani kitakwendaje. Haya ni
mashindano ya 20, na ya kwanza
kufanyika Brazil tangu 1950 ambapo
wenyeji walipoteza mechi ya fainali kwa
Uruguay. Mwaka ujao zitashiriki timu..

No comments:

Post a Comment

.