Katika pita pita mtandaoni Swahilitz imekutana
na picha hizi za JB a.k.a Bonge la bwana akiwa
ameziweka katika akaunti yake ya Instagram na
kuonyesha ni jinsi gani anajivunia kuoa na kuwa
na mke mzuri kama huyu. Tazama picha hapo
chini uone ni jinsi gani jamaa anajiamini na
anampenda mke wake na haoni shida kumuweka
mtandaoni ili mashabiki zake wamfahamu
shemeji na wifi yao. unaweza uka mfollow JB
katika instagram kwa kuminya hapa
Wednesday, December 4, 2013
KAMA ULIKUWA HUMJUI MKE WA JB a.k.a BONGE LA BWANA BASI NDIYO HUYU HAPA..!! TAZAMA PICHA HAPA..!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment