Friday, December 6, 2013

KIFO CHA MZEE MANDELA KIMEMFANYA MPAKA NICKI MINAJ AANDIKE KISWAHILI. CHEKI HAPA


Kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini
kimewasikitisha watu wengi sana wakiwemo
watu wa maarufu duniani lakini rapper Nicki
Minaj mwenye wafuasi milioni tatu na nusu
kwenye instagram amevunja rekodi ya kuwa staa
pekee wa dunia ambae nimemuona ameandika
yake ya moyoni na kuongezea kwa lugha ya
Kiswahili pia.
Kupitia akaunti hiyo minaj aliandika
A complete and fulfilled life of a King. We could
never repay you for your dedicated, passionate
fight against injustice. We enjoy the very liberties
you gave your freedom for. Your legacy will never
die. Thank you, and may God bless your soul.
***Madaraka kwa watu***

3 comments:

.