Wednesday, December 11, 2013

KITAANI YA TOX STAR STAR KTK TV


.mwanamuziki wa bongo fleva tox star au unaeza kumuita  bongo fabollous amefunguka nasi juu ya ujio wake mpya alituambia kuwa ameamua kutoa zawadi kwa fans wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu..Tox star alituambia kuwa song hiyo inaitwa Kitaani amemshirikisha rais wa masharobaro hapa tunzungumzia bob junior.alizidi kusema kuwa hyo ni zawad tosha kwa fans wake tox star kwa mala ya kwanza utaitazama video hyo ijumaaa hii ktk tv zote za hapa nyumbani. asee usikoseee mtu wangu !u just sit n watch your tv hatareeeeee!!

No comments:

Post a Comment

.