Friday, December 13, 2013

LULU , YOUNG D WADAIWA KUKUTWA WAKIFANYA MAPENZI KWENYE GARI


Elizabeth Michael ' LULU ' .
Jana kupitia kwenye kipindi cha U - heard cha
Clouds FM chini ya bwana Sudi Brown ama
Gossip Cop kulikuwa na fununu kali iliyokuwa
inamuhusu mwanadada wa Bongo Movies na
mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Young D
' Young Dar es Salaam' kama mwenyewe
anavyojiita baada ya wawili hao kukutwa
kwenye gari wakifanya lile tendo
linaloruhusiwa kufanywa mara baada ya
mdada na mkaka kufunga ndoa .
Young D
Kwa mujibu wa Sudi Brown ' Gossip Cop'
wawili hao walikutwa maeneo ya Mbezi
Beach ndani ya gari aina ya Hyundai ya
mwanadada Lulu na polisi wa doria
wakivunja amri hiyo iliyokatazwa na vitabu
vyote vitakatifu kwa maana ya biblia, Quran
na vitabu vingine vya dini ulimwenguni.
Habari zainasema baada ya wawili hao
kukutwa eneo hilo na polisi walipelekwa
pembeni gizani na kuongea na Polisi kabla ya
wao kutokomea wasipojulikana na gari hilo.
Alipopigiwa simu mwanadada LULU alipokea
na kukata muda mfupi na baadaye Young D
alipopigiwa simu alitoa majiu ya utata kama
alivyoongea mwenyewe kupitia kwenye
kipindi cha U - heard cha Clouds Fm .

1 comment:

  1. Hahaha sasa Lulu kashazoea mipin jaman Young D is alikua anaogelea tu

    ReplyDelete

.