Monday, December 9, 2013

MAANDALIZI YA MAZISHI YA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA YA KUSINI NELSON MANDERA YANAENDELEA


Hili ni Banda linaloendelea kujengwa
katika eneo la makazi ya Hayati Nelson
Mandera kwa ajili ya maandalizi ya
shughuli za maziko yanayotarajia
kufanyika mwishoni mwa wiki hii,
ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa
makubwa, kutoka pande zote za dunia
wanatarajia kuhudhuria maziko hayo.

1 comment:

.