Sunday, December 15, 2013

MAELFU WAMUAGA MANDELA

Viongozi wa Afrika, familia na marafiki wametoa
heshima zao za mwisho kwa hayati Nelson
Mandela katika mazishi yake ya kitaifa katika kijiji
cha Qunu katika mkoa wa Cape Mashariki.

No comments:

Post a Comment

.