Sunday, December 15, 2013

RASI KIKWETE AHUTUBIA KATIKA MAZISHI YA MANDELA


Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika
mazishi ya Nelson Mandela kijijini Qunu ,
Afrika Kusini.
Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson
Mandela likiwa mbele ya waombolezaji
katika kijiji cha Qunu .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amehutubia
kwenye shughuli ya mwisho ya mazishi ya
Nelson Mandela katika Kijiji Cha Qunu
ambapo ndipo maziko yanapofanyika hapo
baadaye.
Rais Kikwete amesimulia uhusiano wa karibu
uliokuwepo enzi za utawala wa Mandela na
Mwalimu Nyerere.
Mwili wa hayati Mandela utazikwa kwa
tamaduni za Xhosa , ambapo ng ’ ombe dume
atachinjwa na jeneza la Mandela kufungwa
kwa ngozi ya Chui.

No comments:

Post a Comment

.